
Niliondoka nikamuacha kaka anacheka hapo hata sikuwajali tena, nikaingia zangu ndani muda kidogo nikasikia mlio wa pikipiki nikajua wameenda zao huko. Mimi sikuwahi kumwambia karim kama nilienda kwao karibu wiki sasa inaisha, nilikuwa na namba ya yule dereva wao mara kwa mara nilikuwa namuulizia hali ya yule baba, lakini sikujua nitampa vipi karatasi zile karimu yaani nitamuanza wapi kumuelezea. Hapo ilikuwa imepita wiki hivi, nikamwambia karim kuna kitu nataka tuongee, nakumbuka ilikuwa j2, nikamwambia j3 baada ya vipindi sitaki kurudi nyumbani kwanza wee karim agoma, akasema hapana lazima uende nyumbani kwanza nikashangaa mana imekuwa muda sasa ananikwepa kweli kweli. Hiyo
0 Comments