𝐍𝐈𝐀𝐂𝐇𝐈𝐄 𝐌𝐈𝐌𝐈 05 SEHEMU YA TANO

𝐍𝐈𝐀𝐂𝐇𝐈𝐄 𝐌𝐈𝐌𝐈 05 SEHEMU YA TANO

Kwa pamoja tuliingia kwenye gari kisha nikamuelekeza peter aendeshe hadi manyanya kule kinondoni b Aliendesha moja kwa moja hadi nyumbani nilipopangaaa , msinione hv nipo gado kwenye kutoa maelekezi Aya gari lako paki hapa halafu nifuatee na peter nae alitii😁😁ukivurugwa utaelewa vzr najua unashangaa Tuliingia hadi ndaniii nkamwambia peter aende kuogaaa , anhaaa mm siogi nalala hvihvi alinijibuuu Skia hapo ni mawili uoge au nikuogeshe siwez kulala na mlevi mimi Basi peter aliingia akaoga na baada ya muda alirud chumbani akiwa yupo safi kbc na harifu ya pombe yote ilikwishaa na uzuri wakee choo kilikuwa ndani kwahiyo hakupata shida kabisaa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments