BILIONEA NDANI YA HOTEL EP 34,35

BILIONEA NDANI YA HOTEL EP 34,35

“no abby nitazame ,, hakuna sehemu yeyote moyo wangu unaweza kuhema zaidi ya kifuani kwako jina lako na uso wako hivyo tu ndio vinaleta tabasam Lang ” “ mbona gafl tu umekuwa haupo saw ana hautaki kuniambia ni kwanini umekuwa hivyo? “unaniamini?” “qassanooo!!!” “ niamin nitakwambia kila kiu usimtie mwanangu stress please” Abby akcheka mana qassano aliweka sura ya huruma ,, qassano akasema yes nataka hivyo Ili niwe na amani huko …. Aliwachia kila kitu na pesa akaondoka ,, lengo la alberto kuondoka karibu na abby hakutak kwanza masha afahamu kuwa yeye anamahusiano mengine alihisi hilo linaweza leta mtatizo zaidi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments