
Yule dada alimuendesha Robby mpaka mbele kabisa akasimamiaha kiti kwenye mstari kisha na yeye akaenda kutafuta kiti akakiweka karibu na Robby wakakaa.....wakati huo nimebaki pale mlangoni natumbua macho kama mwizi🤣.......mara Justine huyu hapa ......sikitu twende ndani mama....Robby kashachukuliwa na kipenzi chake twende zetu tukale neno la Mungu.......OMG 😥Nilisikitika sana....Lkn isingekuwa rahisi kwa Robby kijana handsome Kama Yule kuwa single ...haikuwa rahisi....mmmh nilijidanganya..... kinyonge sana nikachukuana na Justine mpaka viti vya katikati tukajichomeka kwenye mistari tukakaa......mara nikaona Robby hatulii kule mbele yaan anageuza shingo nyuma kama vile kaitwaa..... ibada ilianza Mama lulu alisimama pale mbele pamoja na mchungaji wa kanisa wakatoa
0 Comments