NIMEZAMA* 11💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋

NIMEZAMA* 11💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋

Mama lulu alibaki anashangaa kutuona pale......mbona mko hapa? Nini shida ....Robby aliamka mapajani kwangu na kumjibu aaah mama nilimuomba dogo anilete hapa sebuleni nipate hewa kidogo ila ndo kama hivi tukapatiwa usingizi......ooh jmn Robby unamtesa mtoto unataka akukimbie mapema hivi .....hapana mama huyu ni mbabe wangu ashanizoea hawezi kwenda popote bila ruhusa yangu..........sawa nyinyi siwaingiliii....mama lulu alisema.......daaah kidogo nikapata ahueni maana nilijua mama lulu atafoka na kunitimua kabisa..... sasa mkajiandae kwajili ya kanisani .......mara Mwaj alifika na kuanza maandalizi ya chai na kusafisha nyumba.....nilimchukua Robby wangu ....aa ngoja kwanza ni Robby tu jmn siyo Robby wangu🤣🤣.......nikampeleka chumbani kwake nikamsaidia kuvua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments