*NIMEZAMA* 08💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋

*NIMEZAMA* 08💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋

Bas bwana Robby akachukua chai akanipa nionje kwanza .......nikaonja.......akanipa na mkate nile.....nikachukua mkate nikala nikanywa na chai ....kwa aibu hivohivo nikajikaza......na yeye akachukua sles akala akachukua chai akanywa.... hahahaha Kama tupo kilabuni vile .....hahahaha....jmn siku mbili tu nishaanza kumzomea Robby yaan nimeshamzoea ingawa ninamuonea aibu balaa.......tulikunywa chai mpaka Ikaisha ......waaao... nice sana ...lunch pia hakikisha kijiko ni kimoja tu ..Robby aliongea hahahaha🤣.....nikawaza nimtoroke.... nikafanye mambo mengine....fasta nikanyanyuka nikachukua vyombo ili nipeleke jikoni ...... hii kazi ni ya Mwaj wewe kaa na mimi hapa ....Robby aliongea.....kaka Robby nataka nikaoge nasikia vibaya sana.....maji yapo tele hapo chooni si umeyaona Lkn ...kama hauna

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments