11 - 20🚩🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž

11 - 20🚩🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž

:11 kwa kukwama kwama “Nde, Nde” Kwa upole nikamalizia “Ndeana Boss.” Akacheka akisema “Una jina la kipekee sana unajua, sijawahi kusikia.” Sasa mimi namtazama anavyocheka, huyu mwanaume analo tabasamu. Meno yake yamepangika vizuri na anajua tumia tabasamu lake. Haitoshi kuna kitu sijasema, unazijuia vizuri zile sauti za watangazaji wa vipindi vya mahaba, ndiyo sauto zao nzito fulani hivi ila laini ndiyo hivyo hivyo sauti ya huyu mwanaume ilivyo. Ana sauti nzuri sana ni kama vile akiongea usimwambie aache kuzungumza. Muda wote awe anazungumza tu, asiache kabisa. Wakati mimi nashangaa aliniuliza “umekuja na chochote?” Haraka nikatoa bahasha yangu na kumpatia. Akawa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments