14--15 *NIMEZAMA* 14💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋

14--15  *NIMEZAMA* 14💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋

Niliondoka pale chumbani kwangu na kwenda kwa Robby .....nilimkuta amelala kifudifudi huku akiwa anawaza sana.....aliponiona tu .....njoo mama....nikaenda akanivutia pale kitandani.......hivi unaitwa sikitu nani.......Sikitu Bosco .......ooh nice name.......Mimi naitwa Robbyson Raulent........sawa kaka Robby.......nahitaji kukufahamu zaidi mama.....kivipi kaka Robby....... tumekubaliana saa sita usiku ........ndio kaka.....yes usikose ni siku ya muhimu sana katika maisha yangu na yako pia.....mmh umuhimu kwangu? ...niliwaza ......... naomba ukaniletee maziwa fresh nina kiu sana ......sawa kaka....nilitoka na kwenda jikoni nikachukua maziwa kwenye chupa na kikombe nikarudi kwa Robby......nilimimina maziwa na kumpatia.......mama ujanja wangu wote huu siwezi kula wala kunywa chakula cha moto ...naomba unipoozee.......nilianza kupooza maziwa huku

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments