*NIMEZAMA* 13πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹

*NIMEZAMA* 13πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹

Bas bwana tukalala pale tukajisahau kabisaΓ aaaa....chaajabu kumbe mimi ndo nilikuwa nimelala 🀣....robby alikuwa macho ananipigia mahesabu tu pale usoni yaan muda wote nimelala kumbe yeye alikuwa ananiangalia usoni hanimalizi alikuwa anazilazalaza nyusi zangu na vidole vyake hapo ndipo niliposhutuka.......... nilikurupuka.....tulia unaenda wapi mama....robby alinambia.....kaka robby ...lala mama bado sijapata utulivu .....bas nikalala nae karudi kifuaniπŸ˜‹ .....ila nyie hii raha haielezeki ni kweli wanaume wenye hisia za dhati wapo ila kuwapata ndo kipengele...... robby alikuwa akiniambia anataka utulivu bas najua tu anataka kifua changu au mimi nilale kifuani kwake ......daaah πŸ˜‡πŸ™Œ.....tulikuja kushtukizwa na honi ya gari .....kucheki time ni saa kumi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments