
Bas bwana Robby akapagawa kusikia mtoto sijawah kuguswa na mwanaume ......mnaijua ile feeling mwanamke unapojielezea kwa mwanaume kuwa wewe ni new product alaf mwanaume apate ile sapraiz 🤣.......daah inakuaga pambe sana...... bas Robby akanibusu kila sehemu huku akiongea vijineno vya kuchombeza ilove you mama.... .i love you mama....i love you mama....nakupenda milele daima kamwe hakuna wa kututenga zaidi ya kifo......nilifeel kitu kitamu sana moyoni mwangu .....robby hakuwa na Papara kabisa tayari njiwa nipo kwake mawe ya kazi gani👌......mama najua hatujapata chakula tangia mchana naomba ukalete ile box pale juu ya meza.......nilinyanyuka na kuenda kufata ile box....niliileta pale kitandani........fungua Sweetheart......robby alinambia.....daaah😂
0 Comments