
SONGA NAYO Nilijikuta natetemeka haja kubwa na ndogo vinanishika Kwa pamoja nikamwambia mama ni nini iko mbona sielew mama akanijibu hujui iki ni Nini unajifanya umevurugwa ee c kipimo cha mimba iki briella anasema kilidondoka Jana kutoka katk mkoba wako afu unajifanya kuulz eti Nini iko unajitoa akili eπ³π³ ndo nikagundua Sasa kile kipimo kilidondoka nilivyompiga Brie na mkoba wangu kipindi ambacho alikua ananizuia kuingia ndan nikawaza nifanye sasa apa Kwa haraka araka au nikimbie mana ni kwel nna mimba na mama akisema anikague atanigundua bas nikabak nimesimama ktk mlango ule mkubwa wa kutokea nje mama akaniambia Annabell sogea apa
0 Comments