8--9 MADAM NIPE KIDOGO BASI 💋

8--9 MADAM NIPE KIDOGO BASI 💋

8 Basi ikaonekana kama Yule nurse alikuwa anapitia changamoto nyingi sana kwenye mahusiano na maisha yake, na Yule kijana ambae ndio Kendrick akawa anazitatua, na mwisho wa siku akamfata na kumtongoza tena, safari hii hakukataa akakubali na wakaanza kuwa na mahusiano, na Yule mwanamke alishangaa kumuona kijana mdogo ambae alikuwa anahisi kama hajakuwa hivi kama mtu ambae amepevuka kiakili sana, na anafaa kuwa mume kuliko hao wanaume ambao alidhani ni sahihi kwake, na huo ndio ukawa mwisho wa igizo, na baada ya igizo kuisha Kendrick akachukua mic kisha akasema… “ sijawatukana na wala sijawadhalilisha walimu na wazaz wangu kwa kuleta

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments