
*__________________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Ilikuwa katika jengo moja la kampuni ya SR COMPANY. Ndani ya ofisi moja yenye vitu vya thamani na inayovutia kupita kiasi kulikuwa na wanaume watatu waliokuwa wakizungumza. Mwanaume mmoja alikuwa mtu mzima kama wa miaka 55 alikuwa na vijana wake wawili. Rashidi na shahidi. Sitaki marumbano nimekuja hapa kutaka kujua kwanini kampuni inapata hasara mara kwa mara? Au nimeamua kutaka kulangusha hii kampuni baada ya mimi kusota kwa muda. mrefu? "Baba hilo swala ongea na Rashidi...... Mimi nimefanya nini? Rashidi aliongea kwa ukali huku akiwa kamtolea macho shahidi. Kumbuka pesa iliyopotea ilipotea siku moja kabla ya
0 Comments