ALIJIFANYA MUUZA NYANYA KUMBE NI MTOTO WA BILIONEA ANAYETAFUTA MKE 05 😭😭😭😭😭💔

ALIJIFANYA MUUZA NYANYA KUMBE NI MTOTO WA BILIONEA ANAYETAFUTA MKE 05 😭😭😭😭😭💔

................................ Hans hakuacha kumfata Imelda nyuma, alivyoongeza mwendo ndio kwanza naye alizidisha mwendo. Moyoni aliijisikia raha kila alipomuangalia Imelda. Kam Mwendawazimu aliongeza mwendio kumfata. “ Sipaswi kumkosa huyu leo. Hata namba yake niipate..’ Alijiambia hans moyoni na kuongeza mwendo kumfata Imelda. Kutoka na spidi yake, Imelda alitoka sokoni na kuvuka barabara ya pili. Hans naye hakuwa mbali sana, aliongeza mwendo. “ Dada...dada....’ Alizidi kumwita Imelda. “ Huyu naye vipi?” ALijiuliiza Imelda, kisha akasimama. Aligeuka macho yake yakakutana na machi ya hans. “ Unanidai?” ALimuuliiza. “ Hapana dada! Sikudai wala nini.” ALijibu hans. “ Sasa ndio nini kunifata hivyo? Utaratibu wa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments