
“ Imelda viipi?” Mmoja wa wamama wa mle siokoni alimuulza Imelda baada ya kuona yupo bize kumtazama hasn akiwa anauza nyanya pale nje. “ Safi mama.’ ALijibu Imelda. “ Unamuangalia nani nje?” ALuliza yule mama. ‘” Namuangalia mdogo wangu Mercy, nilikuja naye na kumuacha nje, nashangaa simuoni.” ALidanganya Imelda. ‘ Eeeh! Ulikuja na mdogo wako. Mbona mimi nilikuona peke yako?” ALiuliza yule mama. Imelda hakujibu, akiwa kimya yule mama alitoka kwenye meza yake na kumsogelea. ALiimshiika mkono na kumvutia kwenye meza yake. ALimkarisha kwenye kiti. “ Nimefurahi sana leo nimekuona hapa. Nina swala na wewe.” ALiongea yule mama ambaye anaitwa
0 Comments