ALIJIFANYA MUUZA NYANYA KUMBE NI MTOTO WA BILIONEA ANAYETAFUTA MKE 06 😭😭😭💔

ALIJIFANYA MUUZA NYANYA KUMBE NI MTOTO WA BILIONEA ANAYETAFUTA MKE 06 😭😭😭💔

‘ Naomba uwe mke wangu...nimetokea kukupenda gafla tu...” Aliongea Hans. Imelda badala ya kujibu alijikuta akitetemeka kwa hasira, alivuta mkono wake na kurudi nyuma. AKiwa anatetemeka kwa hasiera alimwangalai hasn tena juu mpaka chini. Alitaka kuongea akasita. Haraka hasn alimuwahi tena. ALimshika mkono wake tena. “ Kama kuwa mke wangu imeshindikana naomba uwe mpenzi wangu...sitauumiza moyo wako... nimekupenda...” Alisisitiza hans. “ Tuuuu..” Imelda alimtemea mate usoni hasn. Alitoa leso na kujifuta kwenye mkono wake, hasa kweye ile sehemu ambayo hans alimshika. Alifuta harka haraka kisha akamtupia leso usoni hasn na kuondoka eneo lile kwa kasi kubwa. Hatua kadhaa mbele alikutana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments