
09 “ Aaaaah!’ Alishtuka mery. Macho yalimtoka kwa mshangao. Hakuamini kile alichokisikia. “ Mbona unaniangalia hivyo? Inamaana uamini niilichokuambia. Acha nirudie tena. Ni hivi, nimeshaamua kuolewa na huyu tajiri. Vyovyote atakavyokuwa mimi sitajali. Ninachojali ni hela zake tu.” ALiongea Imelda. “ Mmmh!’ ALigua mercy. ................................ Hans baada ya kukatiliwa na Imelda alirudi sokoni tena kuendelea kuuza nyanya. Muda wote akili yae ilikuwa kwa Imelda. Aliwaza uzuri wa Imelda. Aliwaza jinsi moy wake ulivyojsika baada ya kumuona. “ Yule mwanamke naye ananipenda...’ Alijiambia Hans. ‘ Kwa jinsi tulivyoangalia ile amefika tu hapa sokoni inamaanisha kuna kitu kati yetu.” Aliwaza hans. “
0 Comments