
“ Hivi leo ni siku gani? Mbona kama haipo kawaida?” ALijiuliza Imelda. ALichukua simu yake na kuangalia siku, iliikuwa ni alhamisi. ALivuta pumzi kwa ndani na kuchukua basha alyopewa na yule mama. Aliichungulia tena akaona noti za elfiu kumi kumi. Alitabasamu na kuiweka ile basha kwenye drooo. Ile amemaliza tu kuiweka, mlango ulisukumwa akaingia Mery. “ upo sawa?’ Meryc alimuuliiza Imelda. “ Kwanini umeniuliza hivyo?” “ Nijibu upo sawa?” ALiuliiza tena mercy. ‘ Siwezi kukujibu mpaka uniambie sababu ya kuniuliza hivyo.” “ Nakuuliza kwasababu si kawaida yako mimi kukutukana na wewe usirudishe. Imekufata kule sokoni, pale barabarani nimekutukana lakiini hujanijibu
0 Comments