ALIJIFANYA MUUZA NYANYA KUMBE NI MTOTO WA BILIONEA ANAYETAFUTA MKE 02

ALIJIFANYA MUUZA NYANYA KUMBE NI MTOTO WA BILIONEA ANAYETAFUTA MKE 02

Dakika tano mbele alifika, nyumbani kwao hakukuwa mbali na sokoni, lakini iile amefika tu, macho yake na macho ya hans yalikutana. Kwa sekunde kadhaa walitazamana, hans alikodoa macho kama kamuona malaika.Alisimama alipokaa bila kujielewa. Akiwa kama Mwenda wazimu alipiiga hatua kumfata Imelda. “ Kaaa nyanya unauzaje?” mteja mwingine alimuulza hans. Kutokana na mawenge ya kumuona Imelda, hasna lishindwa kujibu. Akili yake yote iilikuwa kwa Imelda. “ We kaka naongea na wewe? Nyanya unauzaje?” Yule mteja mwingine aliimuuliza. Hans hakujiibu. ALizidi kumkodole macho Imelda. “ Mmmh!” Yule mteja mwingine aliiguna. Alimfata hans na kumtikisa mkono. “ Wewe kaka unakichaaa..nakuuliza bei ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments