
Hans bila uoga, safari hiii alisimama na kumfata Imelda baada ya kuona anafatwa, haraka sana aliangalia upande mwingine na kuongeza mwendo. Hans hakujali, naye aliiongeza mwendo kumfata. “ Samahani dada...dada...da.da...’ ALiita hans. Imelda hakusimama. Alongeza mwendo kuondoka eneo lile. ........................... Kitendo cha Imelda kwenda peke yake sokoni kilimkera mama yake, alimfata mercy na kutaka kujua kwanini hakuongozana na mwenzake kwenda sokoni. “ Nilimwambia twende wote hakawa anaeta pozi. Hivyo mimi nikadhira na kumtaka aende peke yake.” Aliongea Mercy. “ Tabia hio sipendi. Nyie ni wanangu na mpo wawili tu! Inabidi mpendane, nilishwaambia kwanini nataka muwe mnaenda wote sokoni. Sisemi muende
0 Comments