BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘13

BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘13

Baada ya Maria kuona Ile Hali alizidi kupata wasiwasi, Bryan aligundua hilo alinyoosha mkono wake na kunishika mkono wa Maria. Maria aligeuka kumuangalia akamuuliza " Mbona sielewi Mambo yanavyoenda alafu wewe mbona upo hivyo. " Kwani nipopoje? " Sijazowea kukuona ukiwa hivyo.... " Umemzowea kuniona nikiwaje? " Tuachane na hayo nenda kalale. " Alafu nikienda wewe inakuwaje? " Sijui nyie mlikuwa mnamaana gani unajua sielewi kabisa. " Nini usichokielewa Maria? " Wewe utaenda kwenye hema na Mimi notalala wapi? " Mimi nitakuwa na wewe. " Inamaana unataka tukalale wote kwenye hema? " Kwani Kuna shida gani mbona ni kitu Cha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments