NIMEZAMA* 07πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹

NIMEZAMA* 07πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹

Kusikia vile aibu jamani aibu mkojo ukanibana .....hahahaaha...kaka Robby nataka niende chooni..... kufanya nini.... ..aliniuliza ...khe🀯 huyu mbuzi nini kwani chooni wanaendaga kupika sambusa au 🧐...niliwaza .....eeh wamama mlijua nmemwambia subutuuuuu.... weeee nimwambie nije nifukuzwe kazi tamuonea wapi Robby mie hahahah,πŸ˜‚πŸ˜‚........naenda kujisaidia kaka....nilimwambia ohooo sawa. Nenda.....niliinuka kuufata mlango wa kuelekea nje .....wewe sikitu choo kile pale .....😳 Mamamamamamamama ....hapa sina ujanja kumbe pana choo hapahapa ndani ........kaka cha nje ndo nimezoea ....... nilimwambia.... kumbuka tumekubaliana usiondoke bila ya ruhusa yangu.......hapohapo nikanywea .....nikarudisha vigimbi vyangu ndani🚢......aibu kama kobe...... huyu sasa anataka kunizoea mbona ana amri hivi kwani mi mkewake .......niliwaza. ....kwanza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments