BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘18

BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘18

Baada ya Maria kupata matibabu walirudi nyumbani .kila siku Bryan alikuwa akimkumbusha masharti aliyopewa na doctor. " Maria kumbuka huyu mtoto Ni furaha yetu wote unatakiwa kufuata masharti ya doctor ili tuweze kumuona mtoto wewe. " Usijali nipo makini Sana ,sitaki kukufanya uumie Tena. Maria alikuwa mtu walikaa tu ndani hakuruhusiwa kubeba vitu vizito wala kukaa kwa muda mrefu kwahiyo muda mwingi alikuwa anatumia kujilaza. Na kila baada ya siku tatu doctor William alikuwa anaenda kuangalia maendeleo ya ujauzito wa Maria. Hatimae siku zikienda ujauzito wa Maria ulikuwa na Hali Yake ikawa sawa Dr William alimruhusu kufanya mazoezipamoja na shughuli

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments