
, alikutana na jina la Mia, alijikuta anatabasamu. "Ngoja nijaribu kumpigia." Gael alimpigia Mia, simu ya Mia iliita akiwa yupo bafuni. "Mia, simu yako inaita mara ya pili sasa," alisema Judith. "Achana nayo, nakuja sasa hivi," Mia aliendelea kuoga. "Mia nae pia hapokei simu, kwanini wananifanyia hivi, au yupo na mpenzi wake?" Gael alipanda kwenye gari, hazikupita hata dakika tano Mia alimpigia. "Mambo mrembo," aliongea Gael huku anatabasamu. "Poa, nani mwenzangu?" aliuliza Mia upande wa pili. "Mimi ni Gael, umenikumbuka sasa?" "Ndiyo boss, samahani sana, sikujua kama ni wewe." "Achana na habari za kuniita boss, huwa sipendi, has hasa ukiniita
0 Comments