
Ukiachana na ufundi wa kusuka beat kali lakini alifanya ubunifu wa vocal fulani za kipekee...Anaitwa "Ambrose Akula Akwabi" a.k.a Dunga Mziki mnene aliutengeneza hapo 41 RECORDS & MANDUGU DIGITAL, jamaa kutoka +254 akaja kusambaratisha +255 Bongo Joh Makini anasema "Dunga utawaua!! Jamaa anamalizia kwa kusema "my condolences " kama unakumbuka niambie ni wimbo gani huo? Baadhi ya nyimbo alizofanya ni hizi...unakaribishwa pia kuongeza list... 1. MB Dogg - Natamani (Kule mwishon Dunga anaimba "dumba dumba dumba dumbe") 2. Mwasiti ft. Chid Benz- Hao (Utamsikia Dunga anaimba "Tunadunda dunda duundaaa") 3. Nakaaya - Mr. Politician (Utamsikia Dunga "Nipeni kura zenu.. Nivotieni..
0 Comments