
Nilibaki namuwngalia sana shangazi baada ya kuniuliza mbona natililisha jasho. Nilikuwa natetemeka lakini ukaja ujasiri nikamueleza kuwa nilikuwa nafanya mazoezi kuuweka mwili sawa nilikuwa narisha rusha mikono huku nazuga nikawa nataka nizuge nimtoe angalau aende bafuni na juliet naye atoke ndani mwangu.Baada ya muda kwenda nilipata wazo " Shangazi bomba la bafu linasumbua nilitaka nikamwonyeshe lakni wapi? bado alisema " ngoja usijali nitampigia simu tena kwa sifa akakunja nne. Yaani jamani sio powa huyu shangazi anakata umeme kila kona watalamu wanasema anakabia kwa juu😂.Nilishangaa sana tena akaniuliza mbona kama unalazimisha sana ilibidi niwe mpole maana tayari kashajaa upepo . Hatujakaa
0 Comments