
“,, kichwa kilikuwa kinamuwaka motoo Mr Alberto kwanza aliambiwa mbakaji alikuwa mlinzi hajui mlinzi wa wapi lakiin anauhakika hakuna mlinzi mzungu never yaaan never alijikuta anapiga ngumi ukutani kwa hasira ,, halafu huyu ndio ndugu yake na mashaa aliemtelekeza mtoto wake akakimbia ,, alijikuta anapiga kelel zinginee yaan amechezewa tenaaa ,, mpaka alifuta machoi kwa uchungu jinsi alivyompenda abby kumbe yeye alikuwa anamuigizia tu alilia sanaa kwa uchungu ,, mpaka alipitiwa usingizi .. Alishtuka muda umeenda akatazama saa yake aakagundua muda aliopewa umefika akakimbia haraka kwenye ward ya abby Abby alikuwa anabishana bado na ma doctor kuwa wamembadilishia mtoto anakataa
0 Comments