UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24

UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24

"Una uhakika uko tayari kufanya hivi, upo tayari kujiunga na BBC"Oscar alimuuliza Bryan na akaitikia tena kwa kichwa "Usiitikie kwa kichwa tu, lazima uongee" akasema Oscar kwa ukali... "Ndiyo bwana" alisema Bryan kwa haraka "Kwa hiyo unaweza kunipa nini" Oscar aliuliza "Bwana haujaniambia kama mimi ni sehemu ya kundi au la" aliongea na Oscar akamtazama kwa mshangao. Huyu jamaa ni mwerevu sana, nilijua ni mtu mwerevu tangu nilipokutana naye mara ya kwanza,akawaza Oscar "Sawa Bryan, simama, wewe ni mmoja wetu sasa," Oscar alisema na yeye akasimama “Nifuate” alimwambia kisha akamfuata brayan ofisini. Ni ofisi ndogo tu aliyojiwekea. "Basi niambie" akasema

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments