BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗 SEHEM YA 09

BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗  SEHEM YA 09

MWANDISHI ::HURU MEDIA Maisha ya Vicky yalibadilika ikawa afadhari ya maisha yale aliyokuwa anaishi kwa kina masha , pale alipo hamia kula unajitegema alicho pewa ni eneo la kuishi tena kwa amani zote Alitafuta vibarua vya kufanya ule muda ambao hana vipindi walau apate pesa za kuendesha maisha .. Masha kwake maisha yalizidi kumnyookea hakufanya kazi lakini kila siku pesa ziliingia kwenye acc yake .. Kwa kipindi chote Mr Alberto hakuwa amefika Tanzania bado aliendelea kuwasiliana na Masha kwa ukaribu kabisa Moyoni mwake alikubali kumuoa kwa sababu aliamini yeye ndie ameharibu usichana wa huyu dada kwa matatizo yake , Kitu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments