BINTI MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI *SEHEMU YA 38* Kuna muuza magari mmoja hivi ni maarufu sana Dar..nilichukua namba yake Instagram tukamcheki..

BINTI MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI *SEHEMU YA 38*  Kuna muuza magari mmoja hivi ni maarufu sana Dar..nilichukua namba yake Instagram tukamcheki..

Gari tulilolihitaji hakuwa nalo ila alisema kama tukikubaliana ataliagiza ndani ya siku 40 litafika nchini🤗🤗 Romy alikubali alimpa advance ya pesa alizohitaji then makubaliano ilikuwa gari likishafika tutamalizia pesa.. Inatakiwa uanze kujifunza how to drive right?.. nikamwambia yes babe 😍 hahahaaaa🥰🥰🥰nilitafuta mwalimu wa kunifundisha kudrive private.. Sikuweza kwenda Veta kwa sababu ya muda...muda mwingi nakuwa chuoni nisingepata muda wa kuwa nahudhuria vipindi vya Driving course.. Nilianza pia kufuatilia passport hii ndo ishu Romy aliipa kipaumbele kuliko ishu zingine😂😂😂Namshukuru Mungu ndani Three weeks nilifanikiwa kupata passport🥰 Huko chuoni nilikuwa naenda kwa mbinde sana😂😂🙌 yani kwa week nilikuwa nahudhuria chuo mara moja

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments