JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 13 Alitamani kuongea jambo lakini aliamua kunyamaza ili asiharubu siku yao muhimu

JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 13 Alitamani kuongea jambo lakini aliamua kunyamaza ili asiharubu siku yao muhimu

. Walifika hotelini na kupelekwa kwenye chumba chako ambacho kilikuwa kimeandaliwa rasmi kwajili yao maharusi wapya. Kitandani kumwagwa mauwa na kuandikwa herufi za mwanzo za majina yao. "Hii inavutia sana na kuamsha hisia na upendo. Aliongea Leyna huku akiwa anamuangalia Abisai usoni. "Hiki ndio maana ya Fungate. Leyna alikuwa hayupo sawa lakini hali ya chumba ilimfanya atulize moyo wake hisia za mahaba zilijaa. Alimsogelea Abisai na kuushika tai yake huku macho yao yakiwa yanasngaliana. Mume wangu naomba usiviruge akili yangu kwa wivu nipe nafasi tuziachie nafsi zetu ufurahie..... Kabla hajamaliza kuongea midomo ya Abisai uligusa midomo ya Leyna na kuanza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments