
Huyu mshkaji aliyebebwa hapo juu na kitambaa chake mkono wa kushoto unamjua? Bado ulikuwa mdogo umeanza kufuatilia Soka beki bora Gerald Pique! Unampenda Ronaldo na Messi kuliko Soka! Mmoja akiguswa unatukana, shabiki maandazi. Vipi huyu Mwanaume aliyepiga Para unamjua? Alikuwa mtu haswa huu mpira kuna wahuni wengi wamepita halafu kama hawakuwepo. Halafu kuna mshkaji amefanana na John Rambo, oyaah msela alikuwa anajua nyavu, beki wawili mnarudi kati! Unaikumbuka Nerazzurri hii waliiteka Ulaya, hapo alikuja Chelsea akapigwa, Barcelona ya Messi na Guardiola wakafa halafu pale Santiago Bernabeu wakabeba Treble. Kama unawajua wote kwenye hii Picha bila kwenda Chat Gpt wewe ni
0 Comments