CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI❤SEHEMU : 17

CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI❤SEHEMU : 17

"Nicole aliniambia umepata mchumba" " Ndiyo mama nampenda sana huyu mwanamke ila tumekwaluzana kidogo na hataki kuongea na mimi " " Fanya juu chini uongee nae na muyamalize mimi nasubiri ndoa tu sitaki ucheleweshe nataka wajukuu " aliongea bi Vanessa huku anatabasamu " Usijali mama nitamaliza tofauti zetu na soon atakuwa mke wangu " " Nimuone basi huyo mka mwana wangu haya kwenye picha " alisema bi Vanessa Maverick alitoa simu yake akamuonyesha mama yake picha ya Gabriella " Huyu si ni Gabriella mtoto wa Mr Alphonse ?" Aliuliza bi Vanessa " Ndiyo mama ni yeye najua utakasilika lakini ameshaachana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments