CEO NISAMEHE SIRUDII TENA SEHEMU YA TISA*

CEO NISAMEHE SIRUDII TENA SEHEMU YA TISA*

Nililala nimekuja kuamka tumefika na niko hosptal kumbe nilipata homa kali mno, walinitibu nikakaa sawa, nikaanza kupewa semina sasa ilichukua miezi kuelewa ilibidi Naseer arudi Tanzania kwanza kuendelea na biashara huku mimi natibiwa, alikuwa na kampuni ya magari na vitambaa vya suti na vya kike, alifungua viwanda, alirudi nakukuta mke wake Najma anaitembeza bila kujali, adi kwa walinzi, alikuwa mtu fulani hivi haridhiki kabisa na kila mwanaume, aliamua tu kurudi kwenye usagaji, hil ndio ilikuwa inamlizisha.... Alishaathilika wala na hataki kukubali, kushauliwa, na hii tabia nae pia ilianzia kwa bibi yake, mama ake alikuwa mfanyabiashara, akawa bze na ni single

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments