𝐒𝐢𝐦𝐮𝐥𝐢𝐳𝐢: 𝐌𝐀𝐅𝐔𝐓𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐀𝐉𝐈 𝐀𝐢𝐧𝐚: Chombezo/Maisha/Visasi/Mauaji ______________ Na hii ni sehemu ya sita.

𝐒𝐢𝐦𝐮𝐥𝐢𝐳𝐢: 𝐌𝐀𝐅𝐔𝐓𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐀𝐉𝐈 𝐀𝐢𝐧𝐚: Chombezo/Maisha/Visasi/Mauaji  ______________  Na hii ni sehemu ya sita.

ILIPOISHIA..... Simu ya Dkt Marry ikaendelea kuita mfululizo, Madam Sandra akapiga na kupiga tena lakini wala haikupokelewa. Mwisho akaandika ujumbe huu wa maandishi. ,,,,,Hupokei simu kuna jambo haliko sawa ni kuhusu lile swala tulilifanya mwaka juzi, nipigie haraka,,,,,, SASA ENDELEA... Baada ya kuumaliza mchezo wa kikubwa jikoni Onesmo alijikongoja kimya kimya akatoka kwenda sebuleni. Akahakikisha anasawazisha sura yake na mavazi yake ili asiwe na chembe ya mashaka mbele ya mjomba wake. Alipofika sebuleni, alikaa juu ya sofa mbali kidogo na mjomba P, akijifanya yuko bize kupekua simu yake. Alijitahidi kuonekana mnyenyekevu, mwenye nidhamu ya heshima kwa Mjomba wake, lakini ndani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments