CHOMOA 03. ENDELEA........... Baada ya Nelson kuondoka Mama Clara alikohoa na kuongea ili tu kuwatoa mabinti zake kwenye mshituko

CHOMOA 03.   ENDELEA........... Baada ya Nelson kuondoka Mama Clara alikohoa na kuongea ili tu kuwatoa mabinti zake kwenye mshituko

waliokuwa nao. "Clara!" "Abee mama!" "Hakikisha mpango wako unaenda vizuri ili Nelson atoke kwenye hii nyumba tumeleewana?" "Ndio mama!" Mama Clara baada ya kuongea alinyenyuka na kuondoka na Jesca alimsogelea Angelica na kumwongelesha kwa sauti ya chini. "Umeona mwi..chi wa Nelson ulivyo mkubwa?" "Nimeona ila twende chumbani!" "Mnanong'oneza nini nyinyi?" Clara aliwauliza ila Angelica alinyenyuka na kumshika mkono Jesca na kuelekea naye chu..mbani na sebleni akabaki Clara peke yake. Huku chumbani Nelson alikuwa akijilaumu tu kwanini alishindwa kuibana maxxxhine yake kwenye mkanda mpaka wakaiona ilivyokuwa imejichora ila bahati mbaya tukio lilikuwa tayari limeshatokea hivyo hakuwa na uwezo wa kulirudisha nyuma.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments