
Niliwaza haraka haraka nikasema huenda hizi ni njia Mungu anatufungulia za kutupatia ada sisi yatima wake🥹🥹.. Nilimwambia Hemed it's okay kwa hiko chakula kitakuwa cha watu wangapi??? Akasema ni chake yeye tu atakuwa anapitia anaenda kula nyumbani then anarudisha vyombo asubuhi😝😝😝... Sawa basi nimekuelewa... na chakula kitakuwa cha aina gani maana hicho cha mtu mmoja si itatakiwa niwe napika chakula unachojisikia kula😞.. Hemed aliniambia ni kweli but mimi nitakutajia tu vyakula ninavovipenda then nitakuwa nakupa pesa ya mahemez ya week nzima then wewe utakuwa unapangilia kipi cha kupika.. Okay sawa basi Hemed naomba nikutakie usiku mwema🙏🙏tuliagana hivo huku pembeni kadogo
0 Comments