
Nilinyanyuka nikiwa na hasira sana lakini pia usoni mwangu nililowana machozi tu. “Ni nini hiki mume wangu ??” Nilimuuliza uku nikikausha machozi yaliyoko usoni mwangu. “Nini kuhusu nini, nakuongelesha hapa unajifanya unisikii we mjinga nini, hivi Shamsa hii dharau unaniletea mimi kipindi hiki umetoa wapi ? Nakuona unajitaidi sana kuonesha Kuwa unanimudu unataka Khadija anichukuliaje Mimi “ “Hamad umeharibu swala Yangu ujue “ “Hapa ni msikitini au ? Shamsa hapa ni Nyumbani kwangu na Nina haki ya kufanya chochote kile, mambo ya swala Sijui ujinga gani gani uko kwa baba yako wa kimasikini na sio Nyumbani kwangu “ “Nitukane uwezavyo
0 Comments