CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 11

CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 11

CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 11 --- Mapenzi si mchezo wa kamari, lakini siku hiyo nilihisi kama nimevuta karata mpya, na jina lake lilikuwa Teddy. Teddy alikuwa tofauti. Sio kwa sababu alikua na miili sita au ana gari, la hasha. Alikuwa na kitu kingine utulivu wa mwanaume anayejua anachotaka na hajawahi kuruhusu maisha yamtese bila sababu ya msingi. Siku ile niliangalia zile picha ndani ya folder aliyoniwekea kwenye flash. Kila picha ilikua kama sentensi ya kitabu nilichosahau kukisoma mapema. Ilikua mara ya kwanza mtu kunitazama kwa macho ya ndoto na kuniona kama mstari mzima wa fahari. Nilimtext: “Ulinichora bila kuniambia,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments