
🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆 Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Kumbe mda wote najifanya , nipo mlangoni ni anaichora tu, basi nikaingia, akawa kakaa kwenye kiti anakunywa maji, nikamsogelea nikamwmabia naomba maji ninywe , akanipa yale amabyo yyeye alikuwa anakunywa, basi nikanywa kidogo, yakanipalia , nikaanza kukohoa ,aseee justin akanifata haraka et akaniekea mkono chini ya mdomo wangu ananambia yateme ayoo maji, nikatamani mpaka kucheka ,nikajikaza tu, nikaacha kukohoa akanmbia vp upo sawa au nikakuchukulie dawa nikasema nipo powa , akanmbia kweli, nikashangaa kumbe uyu anajuaga na kujali, nikasema yaaa nipo sawa, akanmbia ndo unatembea na taulo. Nikasema sina nguo nyengine sasa, et akatabasamu,
0 Comments