Colonel Harland Sanders mwanzilishi wa migahawa ya KFC duniani.

Colonel Harland Sanders mwanzilishi wa migahawa ya KFC duniani.

Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule. Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4. Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa. Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba. Akiwa na miaka 20, Mke aliamua kuondoka na mtoto. Alishindwa hata katika jaribio la kumpata mwanae, na kuamua kumshawishi mkewe kurejea nyumbani. Akiwa na miaka kati ya 18-22, alikua msimazi wa njia za reli lakini alishindwa akafukuzwa. Baadae alijiunga na Jeshi lakini akafukuzwa pia. Akatuma maombi shule ya sheria ila hakupata nafasi. Akawa muuzaji wa Bima lakini alishindwa pia. Hatimaye akapata ajira kama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments