
By Babie LOve Nilivosikia Bill analia nilijua fika kuna makubwa niliamka haraka nikakusanya vya kwangu ile natoka tu nikakutana na yule mmbea.. Ana makopo mawili ya popcorn 🍿😋 alishangaa kuniona natoka akaniuliza shost mbona ka vile unatoka?. Nikamwambia ndioo natoka..unaenda wapi mke wa Boss nimeambiwa sasa hivi wewe ndo mke wa Boss na siku siyo nyingi mtafanya bonge la harusi.. Na nimeambiwa wewe ndo kipenzi cha familia unapentwa na ukoo mzima shoga una nyota hahahaa em shika popcorn kwanza.. Wapi unaelekea nikusindikize mke wa Boss..yani wewe ndo kiboko yao mtoto mdogo mwenye nyota kali.. Umefanya mpaka magume gume ya mjini
0 Comments