
Simulizi za john simulizi za dr john @topfans 1000 Unaniumiza Bill hebu niache jamani😰akaniachia nilishakuonya mapema kuwa na adabu unapokuwa mbele yangu.. Hivi hiyo adabu wewe unayo?? Mbona unataka wenzio wawe na kitu ambacho wewe mwenyewe hauna.. Alisonya akaondoka🤣namimi nikabaki naendelea na kazi jioni muda wa kutoka ofisini nilipigiwa simu na baba akaniambia gari imepata hitilafu hatokuja kunichukua.. Baba alikata simu hapohapo ikaingia simu ya mama Bill akaniambia Bill atanipeleka nyumbani mpaka pale gari ya baba itakapokaa sawa. Mmhhh niliwaza nikasema huu ni mpango wameupanga inawezekanaje mama Bill aambiwe maswala ya gari letu kupata hitilafu?? Wakati nawaza mara akaja Bill
0 Comments