
DAAAAAAAH💋🙈8 By Simulizi za john 0789 824 178 @topfans Ful 1000 Nyumbani palikuwa hapakaliki niliishia kuzunguka huku na kule mpaka waliporudi wazazi wangu.. Niliwakimbilia na kuanza kuwauliza ni nini walicho kizungumza.. Waliniambia ni mambo tu yanayo wahusu wao na wala hayahusiani namimi.. ooooh nilishusha pumzi nikasema afadhali🙌 asante Mungu.. Wazazi waliangaliana kama vile kuna kakitu walinificha ila so mbaya kikubwa nishajua mambo waliyo zungumza hayanihusu wacha niende nikalale.. Nilielekea chumbani kwangu nikalala..siku iliyofuata niliamkia kufanya usafi ilikuwa ni jumapili.. Nilifua na ile nguo niliyovaa kwenye sherehe ili jumatatu niende nayo ofisini niirudishe kwa mama Bill.. Jumatatu ilifika nikaenda kazini kama
0 Comments