DAAAAAAAH💋🙈6 moja kwa moja hadi 7

DAAAAAAAH💋🙈6 moja kwa moja hadi 7

DAAAAAAAH💋🙈6 By Simulizi za john 0789 824 178 Full 1000 Unasemaje 🥺?? Aliuliza huku akinisogelea kwa karibu zaidi.. Sorry niliwahi nikaomba msamaha maana halichelewi kunirudisha police.. Kwa bahati nzuri mama nae alifika pale akanikaribisha ndani niliingia nikamwambia samahani mama nimezileta zile nguo nilizovaa siku ile.. Mama alizipokea akaniambia asante mwanangu yani mama ni mstaarabu mno ila mwanae sasa mmmhhh.. Mama aliniambia usijali kuhusu Bill utamzoea tu uuuww kwani mama kajuaje kama naliwazia hilo litoto lake litukutu.. Nilitabasamu tu nikamwambia basi mama acha mimi niondoke baba ananisubiri nje.. Oh hapana mwanangu subiri usiondoke kwanza.. mama aliinuka akaniacha pale sebleni na Bill..

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments