
*________________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Suzan binti anawaonea chuo cha uhasibu ni binti ambae hapendi kushindwa kitu mara nyingi anapenda kuharibu kuliko kushindwa pia ni binti ambae anatoka kwenye familia yanye msimamo wa dini na kufuata maandiko ya kitabu chake cha imani. suzan alikuwa na marafiki zake 3 ambao wamechangamka sana. Veen, Diana na Awena. Hawa marafiki walikuwa wanaoendana sana , walikuwa wana pendana sana walifuatana kama kumbi kumbi. Siku moja Suzan alikuwa ametoka na marafiki wakaenda kukaa sehemu moja ya mgahawa wakiagiza chakula pamoja na vinywaji. Baada ya kumaliza kula Mmoja wa marafiki wa suzan alitoa wazo. " Jamani tumemaliza
0 Comments