
Nimekuja kuamshwa saa moja kasoro, nikainuka nikamshukuru, nikaanza kuondoka alibaki kaganda, kumbe hakuwa amenitizama vizuli chini nina kiuno nyigu afu likafungasha wowowo la kushtua mioyo ya wapenda mitikiso, na kupata wowowo kama langu uku ni nadra sana, yani in short ni kitu adimu, sio kubwa sana nilile la kuvutia haswaa,na leo nimevaa suruali sikuvaa gauni ndio maana limeonekana sana, gauni nilishona fupi lakini pana ni ngumu kuliona linaonekana kwa mbari... Alijikuta ananishaangaa mpaka naishilia, ndo akajipiga kichwa, aliwaza mno kuniambia ananipenda anaogopa, ila kwa hali ilivyo akaona kabisa bora tu aseme, alitoka kunikimbilia hakunipata, akaamua kuwasha gari mpaka kwangu, alivyofika
0 Comments