PENZI LA KIKOMANDO EPISODE 1

PENZI LA KIKOMANDO  EPISODE 1

Mwanzo…. Ni katika vita kali vinavyopigana majira ya usiku kati ya wanajeshi na waasi . Wanajeshi wengi wanapoteza maisha katika vita hiyo, James ambaye ni captain wa jeshi anawaambia wenzake sita walio salia wakimbie sababu tayari walikuwa wamezidiwa nguvu na waasi . “ Kiongozi tukimbie wote, hatuwezi kukuacha hapa pekeyako ….” Wanajeshi walikuwa wakimwita James kwa sauti ya juu lakini james anaamua kubaki kupambana peke yake . “Hii ni amri kutokakwa mimi captain wenu kimbieni , kumbukeni familia zenu zinawahitaji msihofu kuhusu mimi “ aliongea James kwa sauti ya juu akiwa anaendelea kufyatua risasi . Wenzake sita waliobaki wanaanza kukimbia.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments