
akichungulia huku na kule bila kuona mtu Na kufanikiwa kutoroka ndani ya nyumba yao kubwa yakifahari. baada ya Saraah kutoka njee ya fensi yao alikimbia kwa watoto wa mtaani ili kucheza nao lakini watoto wale walimshangaa sana na kutamaani mdoli wake mdogo aliokuwa nao mkononi Sarah aligundua kwamba watoto wale wangecheza nae kwasababu aliona wakivutiwa na mdoli wake lakini haikuwa hivo wale watoto walimsukuma Sarah chini na kukimbia na mdoli yule Sarah alianguka na kuumia kiwiko, chake kwa maaumivu yale alianza kulia Ndipo mtoto mdogo wa lika kama lake la miaka minane 8 anaoekana mbele ake na kumtuliza. "Naitwa Abdulh
0 Comments