
“Jerryson, pesa zako hazitafanya umchukue Lina wangu. Nampenda, huyo ni mwanamke wangu! Stephen alijikuta akiongea kwa sauti ya ukali na kumfanya washirika na kuvunja kumbatio. Jerry alikuwa amesimama kwa utulivu akimuangalia jinsi alivyo kuwa amepaniki , na Lina alikuwa akimuangalia kwa hasira. “Stephen sitaki fujo nyumbani kwangu. " Jerry nilikuwa najiheshimu sana lakini hapa ulipofikia nimekushasha thamani. " Haidhuru wewe kushusha thamani yangu . Alafu hizo kelele zinazopigwa ni kazi bure unakumbuka vizuri wewe ndiye uliyepoteza nafasi kwa Lina, Ulimdhulumu na kumuumiza. " Mambo yangu na Lina wala hayakuhusu. " Yanamuhusu sana tu sababu maisha yangu kwa sasa yapo mikononi
0 Comments